Cecilia Pareso Kuunga Mkono Safari ya Maendeleo Karatu.
Автор: Karatu Tv
Загружено: 2025-10-03
Просмотров: 1552
Описание:
🤝✨ Umoja ni Nguvu!
Mhe. Cecilia Pareso, ameungana na wananchi katika kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mgombea Ubunge wa Karatu kupitia CCM, Ndugu Daniel Awaki. Hii ni ishara ya mshikamano na mshikikano wa kweli kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Karatu na Taifa letu kwa ujumla. 🇹🇿💚💛🖤
#Karatu #Maendeleo #SamiaSuluhu #DanielAwaki #CeciliaPareso
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: