Mpango wa ambulansi za bodaboda uliozinduliwa katika Kaunti ya Laikipia
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 1483
Описание: Mpango wa ambulansi za bodaboda uliozinduliwa katika Kaunti ya Laikipia umeibua mjadala mkali miongoni mwa wakazi, huku wengi wakitilia shaka usalama wake kwa kina mama wajawazito wanaopatikana na dharura. Ingawa maafisa wa kaunti wanasema ambulansi hizo zinalenga kuboresha huduma za afya katika maeneo yaliyo mbali na yenye barabara mbovu, baadhi ya wananchi wamekosoa mpango huo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: