HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI KUGAWA ZAIDI YA VIWANJA 4000 KWA WANANCHI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-10-06
Просмотров: 1434
Описание:
Halmashauri ya wilaya ya Handeni mkoani Tanga imetangaza kuuza viwanja zaidi ya 4000 kwa wananchi mbalimbali wa eneo hilo hususani Mkata,kwa lengo la kuboresha madhari ya mji huo ambao umejengwa kiholela na kusababisha baadhi ya huduma kukosekana.
Hayo yamebainishwa na mkurugenzi halmashauri hiyo William Makufwe kwenye ziara yake ya kukagua eneo ya mji mpya wa Mkata,uliopimwa kisasa kwa kuwekewa miundombinu yote muhimu na kusema kuwa kwasasa wapo tayari kuanza kugawa viwanja hivyo kwa wananchi kwa bei nafuu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: