VIJANA BMMK GOBA KATIKA HAMASA YA MATEMBEZI YA HISANI NA KUCHANGIA DAMU SALAMA TAREHE 17.02.2024
Автор: Dr. Sago Erney
Загружено: 2024-01-28
Просмотров: 186
Описание: Vijana wa parokia ya Bikira Maria Mama wa Kanisa - Goba, Jimbo kuu la Dar es salaam wakitoa hamasa kwa waamini ya kushiriki matembezi ya hisani na kuchangia damu salama tarehe 17/02/2024 ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya kila mwaka chini ya Dekania ya Mtakatifu Gasperi wakishirikiana na Dekania ya Mtakatifu Thomas More ikiwa ni mwaka wa saba tangu kuanzishwa kwa matendo haya ya huruma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: