KUTANGAZWA KWA PAROKIA YA BIKIRA MARIA MAMA WA KANISA GOBA
Автор: Dr. Sago Erney
Загружено: 2020-07-08
Просмотров: 369
Описание:
Sherehe hizi zilianza katika viwanja vya Msimbazi center katika ibada ya upadrisho iliyoadhimishwa siku ya jumanne tar. 07/07/2020 (siku ya SABASABA) na Mhashamu Askofu mkuu Yuda Thadeus Rwaichi wa Jimbo kuu la Dar es salaam hapo jana.
Hafla hiyo ilimalizikia Goba - Kunguru (BIKIRA MARIA MAMA WA KANISA) ambapo waamini wa parokia hiyo waliongozana hadi parokia mama ya BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA kwaajili ya kumshukuru Mungu kwa sala fupi na hatimaye kuelekea katika parokia yao mpya kwa shangwe na nderemo nyingi.
Hakika ni furaha zilifurika kwenye nyuso za waamini hao kutokana na shauku kuu waliyonayo.....
Usisahau kulike na kususcribe chaneli yangu kwa more updates #Dr.SagoErney
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: