LIVE
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 642
Описание:
Misa hii inaadhimishwa na Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu mstaafu wa jimbo la Iringa akisaidiana na Padre Pastor Mgeni Paroko wa Parokia hii pamoja na Padre Benjamin Balama Paroko Msaidizi wa Parokia hii.
Misa hii inaambatana na kubariki jiwe la msingi la mnara wa Kengere ya Parokia hii pamoja na kuzindua mradi wa maji.
#Karibu ushiriki nasi kutangaza injili kwa njia ya mtandao kupitia channel yetu.
#Jimbo katoliki Iringa online Tv
#subscribe
#Like
#Share
#Comment
#Follow
@jimbo_katoliki_iringa
@Jimbokatoliki iringa online tv
@Ahsante.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: