LIVE
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 1123
Описание:
Misa hii inaadhimishwa na mhashamu Baba Askofu Romanus Mihali wa Jimbo la Iringa akisaidiwa na mapadre wa Jimbo la Iringa.
Karibu tushiriki pamoja adhimisho hili takatifu tukiungana na watawa wa kike na wakiume kutoka jimbo la Iringa pamoja na waamini wenye mapenzi mema.
#Endelea kushiriki nasi kutangaza injili kwa njia ya mtandao.
#subscribe
#Like
#Share
#Comment
#Follow
Facebook, Instagram & TikTok @jimbo_katoliki_iringa
You Tube @Jimbokatoliki iringa online tv
@Ahsante.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: