MITAMBO ya RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI - UJENZI ULIKUMBWA na RUSHWA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-11-16
Просмотров: 295
Описание:
MITAMBO ya RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI - UJENZI ULIKUMBWA na RUSHWA...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa wasimamizi wa mradi.
Akizungumza na wananchi katika eneo la mradi huo, Ijumaa Novemba 15, 2024
Waziri Aweso ameeleza kuwa safari ya kuanzisha ujenzi wa bwawa hilo haikuwa rahisi lakini sasa ameridhishwa kuona mitambo iliyonunuliwa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya ujenzi wa bwawa inatumiwa vyema kutokana na usimamizi mzuri wa mradi huo.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO https://chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: