"WATAPATA TABU SANA" Wahamiaji Haramu Waliokamatwa DODOMA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-07-26
Просмотров: 7975
Описание:
"WATAPATA TABU SANA" Wahamiaji Haramu Waliokamatwa DODOMA
Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu wawili raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila vibali.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Gilles Muroto Wahamiaji hao walikamatwa katika kijiji cha buigiri wilayani chamwino mkoani Dodoma wakiwa na raia watanzania ALLY RAMADHANI, Mkazi wa Arusha akiwasafirisha wahamiaji hao haramu kutoka Arusha kupitia wilayani kiteto kwa kuwapakia katika mabasi yanayofanya safari za vijijini na kuwashusha buigili kwaajili ya kubadilisha usafiri.
Aidha kamanda Muroto amesema watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani mara baada ya uchunguzi kukamilika ili waweze kushuguliwa kwa mujibu wa sheria.
Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/,
Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: