Furaha ya Washindi! TCB Yakabidhi Gari Mazda CX-5 na Bajaji kupitia Kampeni ya Toboa Kidijitali 🚗🎁
Автор: Tanzania Commercial Bank
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 201
Описание:
Kampeni ya “Toboa Kidijitali” iliyozinduliwa na Benki ya TCB (Tanzania Commercial Bank) kwa kipindi cha miezi minne imefikia kilele chake kwa mafanikio makubwa! 🎉
Kupitia kampeni hii, TCB ilihamasisha wateja wake kutumia huduma za kidijitali kama TCB Popote App, SimBanking, na QR Payments kufanya miamala kwa urahisi, usalama na haraka.
Katika hafla ya kufunga kampeni hii, washindi waliopatikana kupitia droo za kila mwezi walikabidhiwa zawadi zao, akiwemo:
🏆 Mshindi wa Gari Mazda CX-5
🛵 Mshindi wa Bajaji Mpya
🎁 Na zawadi nyingine nyingi kwa washiriki waliotumia njia za kidijitali za TCB.
Kampeni hii imeonesha dhamira ya TCB kuendelea kuwa benki inayoongoza katika ujumuishi wa kifedha kidijitali nchini Tanzania 🇹🇿
👉 Endelea kutumia huduma za kidijitali za TCB
#TCB #ToboaKidijitali #DigitalBanking #FinancialInclusion #MazdaCX5 #Winners #Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: