Jinsi TCB Inavyowaunganisha Watanzania Ughaibuni na Nyumbani | Tanzania Day London
Автор: Tanzania Commercial Bank
Загружено: 2025-05-01
Просмотров: 217
Описание:
Watanzania waishio ughaibuni ni nguzo muhimu ya maendeleo ya taifa letu. Kupitia TCB Nyumbani, tunawaletea huduma za kifedha zinazowagusa moja kwa moja—kuanzia kutuma fedha kwa urahisi, hadi uwekezaji katika miradi nyumbani. 🌍🏦
Tunajivunia kuwa sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Tanzania jijini London, Mei 3, tukikutana na ndugu zetu wa diaspora ili kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kujenga Tanzania imara kupitia huduma za kifedha zinazolenga maendeleo ya wote. 🇹🇿✨
#BenkiInayomwelewaMtanzania
#TCBNyumbani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: