TAMBUA UFAHAMU WAKO HAPA
Автор: Success Path Network
Загружено: 2020-04-08
Просмотров: 13456
Описание:
Somo hili litakusaidia uweze ku tambua ufahamu wako katika maisha yako kwa ujumla kama kitu kikubwa kinachopelekea mafanikio ya mwanadamu kwani uwezo wa kujielewa vizuri kabisa kwamba wewe ni nani unaweza kufanya nini, unapenda kufanya nini utakusaidia sana usiweze kupoteza muda katika maisha yako na kufanya mambo yasiyokuhusu ambayo hayawezi kamwe kukuletea mafanikio.
Tambua ufahamu wako ni somo linaloletwa kwako na Bwana Victor Mwambene. kwahiyo tufuatilie kwa makini na mwisho tuweze kuchangia kwa maswali au mawazo au hoja mbalimbali za kuwawezesha wengine kujifunza kupitia comments zenu na mwisho wote tuweze kuwa ni katika wale wanaoji tambua ufahamu wao.
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / victor_mwambene
.
For Business please send us an email through
[email protected]
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Tambua #Ufahamu #SPN
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: