MAKAMU WA RAIS ALIVYOONDOKA MKOANI RUVUMA
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-03-16
Просмотров: 14
Описание: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiondoka mkoani Ruvuma kupitia Uwanja wa Ndege wa Songea leo Machi 16, 2026 baada ya kukamilisha ziara yake. Kuondoka kwake kunahitimisha ratiba ya ziara iliyomshirikisha katika shughuli ya kijamii na kiimani pamoja na wananchi wa mkoa huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: