"Nilipatana ana kwa ana na Cartels" - In conversation na Elkana Jacob
Автор: Chanja
Загружено: 2025-12-04
Просмотров: 90
Описание:
Karibu kwenye CHANJA by SemaBOX! 😎
Leo kikaangoni tunaye Elkana Jacob — mwandishi wa habari aliyebobea kwenye masuala ya usalama, Pwani! 🌊🔥
Akiwa na mwenyeji wetu Sammy Mwaura, tunachambua mustakabalihali ya siasa na usalama wa Pwani na namna vijana wanaweza kujipanga kuchagua viongozi wenye vision, si maneno tupu! 💪🏽
Kaa tayari, enjoy mazungumzo, alafu tuambie.
Tuchanje maswala yetu sisi kwa sisi!
#ChanjaBySemaBOX #SautiYaPwani #SemaBOX
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: