Things ODM Should Do If They Want To Survive - Hassan Albeithy, Deputy Party Leader, PAA
Автор: Chanja
Загружено: 2025-12-11
Просмотров: 62
Описание:
Karibu kwenye CHANJA by SemaBOX! 😎
Leo kikaangoni tunaye Hassan Albeith, Deputy Party Leader, Pamoja Africa Alliance — Alikuwa mwandishi wa habari aliyebobea kwenye masuala ya usalama na siasa kanda ya Pwani! 🌊🔥
Akiwa na mwenyeji wetu Sammy Mwaura, tunachambua mustakabalihali ya siasa na usalama wa Pwani na namna vijana wanaweza kujipanga kuchagua viongozi wenye vision, si maneno tupu! 💪🏽
Kaa tayari, enjoy mazungumzo, alafu tuambie
Tuchanje maswala yetu sisi kwa sisi!
#ChanjaBySemaBOX #SautiYaPwani #SemaBOX
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: