TUNU MWENDESHA BAJAJI ALIYEFANIKIWA KUJENGA NYUMBA YA ZAIDI YA MILIONI 30 NA MIRADI MINGINE
Автор: lucas maziku
Загружено: 2018-04-24
Просмотров: 4063
Описание: Tunu Ndege ni Mkazi wa mkoa wa Mara aliyeanza kazi kwa kuajiriwa kwenye kiwanda cha Samaki na badae kupata mtaji wa kununua pikipiki, alifanya kazi ya bodaboda kwa miaka kadhaa na kufanikiwa kununua Bajaji, Amejenga Nyumba anaduka la rejareja na miradi mingine, fuatilia makala hii kwa undani zaidi. Mtayarishaji Gigwa Mhule, MpigaPicha na Mhariri Picha ni Lucas Maziku, Jarida Maridhawa liliruka Star Tv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: