BODABODA 'SMART' ANAYEMILIKI NYUMBA NA MADUKA - "SIHITAJI KUAJIRIWA, BODABODA INATOSHA"
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2022-01-05
Просмотров: 6074
Описание:
Seif Shaibu ni Kijana anayejishughulisha na kazi ya Bodaboda katikati ya jiji la Dar es Salaam tangu mwaka 2009, anasema kutokana na mafanikio aliyo pata kupitia kazi hiyo, hataki tena kuajiriwa ofisini hata kwa ahadi ya mshahara wa Shilingi milioni moja
Shaibu anajivunia kujenga makazi yake sanjari na kumiliki Biashara nyingine inayompatia kipato cha ziada ikiwemo kulipia ada ya watoto katika shule binafsi kupitia kazi hiyo, ambayo wengi wamekuwa wakiidharau na kuichukulia poa.
Kijana huyo amebainisha hayo katika Exclusive na ripota wetu @hamisimguta na kueleza sababu mbalimbali zinazopeleka wanaojishughulisha na kazi hiyo ya bodaboda kutopata mafanikio.
BODABODA 'SMART' ANAYEMILIKI NYUMBA NA MADUKA - "SIHITAJI KUAJIRIWA, BODABODA INATOSHA"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: