Maoni: Ushindi wa Kishindo wa Donald Trump una maana gani ndani na nje ya Marekani?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-11-12
Просмотров: 2969
Описание: Safari hii kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kinamulika ushindi wa kishindo wa Donald Trump katika uchaguzi wa Marekani. Je ulimwengu umeupokeaje ushindi huo? Matarajio ya ulimwengu ni yapi? Nahodha wa zamu ni Zainab Aziz.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: