Kuna athari gani Rwanda kujiondoa ECCAS? | Maoni ya Wachambuzi
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-06-14
Просмотров: 8665
Описание: Rwanda imezilaumu nchi za Afrika ya Kati za jumuiya ya ECCAS kwa kuegemea upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika muktadha wa mapigano yanayoendelea huko mashariki mwa Kongo. Ndiyo mada kwenye Maoni mbele ya Meza ya Duara #dwkiswahili #dwswahili #dwmaoni
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: