GF MIGUU YOTE KWENYE KILIMO, SASA KUKOPESHA MAGARI, MITAMBO YAINGIA UBIA NA EFTA
Автор: BONGO NEWS TV
Загружено: 2024-07-26
Просмотров: 758
Описание:
Katika kuelekea msimu wa sikukuu ya wakulima maarufu kwa jina la nanenane, Makampuni ya GF yakiongozwa na GF Trucks and Equipemnt yametangaza makubaaliano ya kibiashara na Taasisi ya fedha ijulikanayo kwa jina la EFTA lengo likiwa ni kuwakopesha wakulima mitambo na magari kwa ajili ya shughuli ya kilimo.
Wakizungumza na waandishi wa habari maofisa wa pande hizo mbili wameelezea kuwa makubaliano hayo yatawawezesha wakulima kununua kifaa kwa down payment ya asilimia 20 na ndani ya siku tano mtambo ama gari linakuwa limekabidhiwa.
#sports #entertainment #BONGONEWSTV Usisahau ku-subscribe channel hii kwa taarifa nyingi zaidi na pia tembelea mitandao yetu ya kijamii Instagram @bongonewstz twitter @bongonewstz na Facebook @bongonewstz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: