MGOMBEA URAIS DKT SAMIA ATANGAZIA NEEMA KWA WAKULIMA WA CHAI RUNGWE
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2025-09-05
Просмотров: 435
Описание:
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa kuzinyanga’nya mashamba ya Kampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania (METL) na Watco ili kuyagawa kwa vyama vya ushirika.
Uamuzi huo, umefikiwa baada ya kampuni hizo, kushindwa kuyaendeleza mashamba hayo, huku wakulima hasa wa chai wilayani Rungwe wakilalamikia kukosa maeneo ya kilimo.
Dkt Samia ametangaza msimamo huo leo Ijumaa, Septemba 5, 2025 wakati akiwahutubia wananchi wa Mji wa Tukuyu wilayani Rungwe katika mkutano wa hadhara ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za kusaka kura za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Kabla ya kutangaza ahadi, Dkt Samia amesema awali kampuni hizo zilikabidhiwa mashamba kwa kuamini sekta …
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: