Nyoka Aibuka Kwenye Mkutano wa Waziri Mkuu- Mama Akielezea Binti Alivyouwawa na Kuzikwa Sumbawanga
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 5229
Описание:
Waziri Mkuu alikuwa akisikiliza malalamiko leo Machi 13, 2026 kwa wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika-Katavi
Nyoka aliibuka wakati mama mmoja akieleza namna binti yake alivyouwawa huko Sumbawanga na kuzikwa kimya kimya na familia ya mwanaume aliyekuwa akiishi na binti yake.
Mama huyo ameelezea mikasa mbalimbali iliyomkuta akifuatilia suala hilo, ikiwemo kupata uchungu wa kujifungua akiwa njiani.
Anaeleza kuwa baada ya kwenda Mahakamani walikubaliana familia husika imlipe mahari ya shilingi milioni 4.5.Tukio la nyoka limetokea akiwa katikati ya kueleza malalamiko yake.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: