ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC SENYAMULE; SERIKALI INAENDELEA KUKUZA KILIMO HAI

Автор: DODOMA RS TV CHANNEL

Загружено: 2026-03-06

Просмотров: 42

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali inaendelea kuunga mkono juhudi za taasisi mbalimbali zinazohamasisha kilimo hai ili kuongeza uzalishaji wa mazao na kulinda mazingira.

Kauli hiyo imetolewa katika chakula cha jioni kilichoandaliwa Machi 5, 2026, ikiwa sehemu ya kufunga mkutano wa siku tatu wa wadau wa kilimo ulioandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) na kufanyika katika ukumbi wa Hotel ya Midland Jijini Dodoma, kwa lengola kubadilishana uzoefu na kujadili maendeleo ya kilimo ekolojia hai Nchini.

Amesema Serikali pia imeweka mazingira rafiki kwa wadau wa sekta hiyo, ikiwemo kutenga eneo kwa ajili ya kituo cha mafunzo ya kilimo kitakachosaidia kuwajengea uwezo wakulima na wadau wengine.

“Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhamasisha kilimo hai ambacho kinasaidia kulinda mazingira na kuongeza tija kwa wakulima,” amesema Mhe. Senyamule.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Peter L. M. Msoffe amesema matumizi sahihi ya mbinu za kilimo ekolojia hai yanasaidia kutunza rutuba ya udongo, kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza usalama wa chakula na lishe, hususan kwa wanawake wanaohusika zaidi katika shughuli za kilimo.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa TOAM, Bw. Bakari Mongo, amesema mkutano huo umewakutanisha wadau wa kilimo ekolojia hai ili kujadiliana na kushirikishana mbinu bora zitakazosaidia kuongeza uzalishaji wa mazao huku wakilinda mazingira. Washiriki wa mkutano huo pia walifanya ziara ya mafunzo katika eneo la Bihawana kujionea utekelezaji wa mbinu za kilimo hai mashambani.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC SENYAMULE; SERIKALI INAENDELEA KUKUZA KILIMO HAI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SZALONA KOŃCÓWKA, YAMAL W OSTATNIEJ SEKUNDZIE! NEWCASTLE - FC BARCELONA, SKRÓT MECZU

SZALONA KOŃCÓWKA, YAMAL W OSTATNIEJ SEKUNDZIE! NEWCASTLE - FC BARCELONA, SKRÓT MECZU

МИГ-21: Миллион машин. Почему СССР его раздавал?

МИГ-21: Миллион машин. Почему СССР его раздавал?

⚡ЖИРНОВ: Дерзкое обращение Зеленского ПОДНЯЛО ВЕСЬ ЕС! Путин ВНЕЗАПНО ответил по Ирану. СКАНДАЛ С РФ

⚡ЖИРНОВ: Дерзкое обращение Зеленского ПОДНЯЛО ВЕСЬ ЕС! Путин ВНЕЗАПНО ответил по Ирану. СКАНДАЛ С РФ

⚡️Трамп готовятся ОГЛАСИТЬ ТАКОЕ Украине, что все в ужасе. США ИДУТ В РАЗНОС ПОСЛЕ Ирана!САВОСТЬЯНОВ

⚡️Трамп готовятся ОГЛАСИТЬ ТАКОЕ Украине, что все в ужасе. США ИДУТ В РАЗНОС ПОСЛЕ Ирана!САВОСТЬЯНОВ

GEM, SET, BAYERN! JEDNOSTRONNY WIECZÓR W BERGAMO! ATALANTA - BAYERN, SKRÓT MECZU

GEM, SET, BAYERN! JEDNOSTRONNY WIECZÓR W BERGAMO! ATALANTA - BAYERN, SKRÓT MECZU

RC SENYAMULE ASHIRIKI MAOMBI YA WANAWAKE

RC SENYAMULE ASHIRIKI MAOMBI YA WANAWAKE

BIBI APEWA RUKSA NA WAZIRI MKUU ATAJE PESA ANAYOTAKA KULIPA BAADA YA AFISA ARDHI KUSHINDWA KUONGEA

BIBI APEWA RUKSA NA WAZIRI MKUU ATAJE PESA ANAYOTAKA KULIPA BAADA YA AFISA ARDHI KUSHINDWA KUONGEA

Шарашенидзе: «Слава богу, Иран не собирается нападать на Грузию»

Шарашенидзе: «Слава богу, Иран не собирается нападать на Грузию»

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI WA MAFUNZO YA UANAGENZI - DON BOSCO

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI WA MAFUNZO YA UANAGENZI - DON BOSCO

YALIYOJIRI DODOMA FEBRUARI 16 ‐ 20, 2026

YALIYOJIRI DODOMA FEBRUARI 16 ‐ 20, 2026

YALIYOJIRI DODOMA FEBRUARI 02 - 06, 2026

YALIYOJIRI DODOMA FEBRUARI 02 - 06, 2026

YALIYOJIRI MACHI 02  - 07, 2026

YALIYOJIRI MACHI 02 - 07, 2026

SERIKALI YASHAURIWA KUANDAA MPANGO WA KUPANDA MITI KATA KWA KATA

SERIKALI YASHAURIWA KUANDAA MPANGO WA KUPANDA MITI KATA KWA KATA

WANATAKA KUONGEZA BEI YA MAFUTA WAKIJIFICHA NA VITA IRAN.Ndindi Nyoro risks his life EXPOSING gvt

WANATAKA KUONGEZA BEI YA MAFUTA WAKIJIFICHA NA VITA IRAN.Ndindi Nyoro risks his life EXPOSING gvt

FESTIWAL BRAMEK, PARADA POMYŁEK! KOSZMAR BRAMKARZA SPURS! ATLETICO – TOTTENHAM, SKRÓT MECZU

FESTIWAL BRAMEK, PARADA POMYŁEK! KOSZMAR BRAMKARZA SPURS! ATLETICO – TOTTENHAM, SKRÓT MECZU

⚡️ Операция войск началась || Трамп срочно вызвал Путина на переговоры

⚡️ Операция войск началась || Трамп срочно вызвал Путина на переговоры

🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень

RC SENYAMULE AAGIZA TATHMINI NA FIDIA KWA WANANCHI KARIBU NA MRADI WA MAJI CHEMBA

RC SENYAMULE AAGIZA TATHMINI NA FIDIA KWA WANANCHI KARIBU NA MRADI WA MAJI CHEMBA

Czeczeński dowódca wysyła drony i wojska: Eskalacja konfliktu z Iranem blisko | RFU News

Czeczeński dowódca wysyła drony i wojska: Eskalacja konfliktu z Iranem blisko | RFU News

Xominaiyning vorisi, BAAning bayonoti va Livandagi ikkinchi front |

Xominaiyning vorisi, BAAning bayonoti va Livandagi ikkinchi front | "Geosiyosat"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]