ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

SERIKALI YASHAURIWA KUANDAA MPANGO WA KUPANDA MITI KATA KWA KATA

Автор: DODOMA RS TV CHANNEL

Загружено: 2026-02-07

Просмотров: 26

Описание: Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, ameishauri Serikali kuandaa Mpango wa kupanda miti Kata kwa Kata kwa kuwatumia vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa ili kutimiza azma ya kulinda na kuhifadhi mazingira kwa matokeo bora ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Mhe. Pinda ameyasema hayo alipokua akiongoza zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi ya Habari Conservation Organization (HCO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kwenye eneo la Chimwanga, Njedengwa Jijini Dodoma lenye ukubwa wa Ekari 72 leo Februari 06, 2026 zoezi ambalo pia limehudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule.

“Tukichukua watendaji wa Kata na Mitaa, tunaweza ‘ku-organize’ vijana hawa na kazi ikawa nzuri tukiifanya kuwa ‘event’ ya kila mwaka, kila tunapopata miti ya kutosha, tunahama kutoka Kata hizi tunakwenda Kata zinazofuata, kwa sababu suala la umwagiliaji sio tatizo kwa miti 20 au 40 kwenye mstari mmoja, maji yapo, na mimi nipo tayari kuwa Championi wa hilo jambo”.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Mkoa wake umeendelea na Kampeni mbalimbali za upandaji miti na kwa sasa kampeni inayoendelea ni upandaji wa miti ya matunda ili kuwapa motisha wananchi kupata faida za kivuli, chakula na uchumi hali inayoongeza mwamko wa kupanda miti hususan mti wa tunda la Tufaa.

Hata hivyo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) Bw. Denis Simba amesema Mamlaka yake inashiriki kulinda na kuhifadhi mazingira kupitia Sheria mpya ya ununuzi wa Umma ya mwaka 2023/24 imeelekezwa ununuzi wote wa Umma ufanyike kidigitali ili kuondoa uchafuzi wa mazingira kupitia matumizi ya karatasi sambamba na kupunguza safari.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SERIKALI YASHAURIWA KUANDAA MPANGO WA KUPANDA MITI KATA KWA KATA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

YALIYOJIRI DODOMA FEBRUARI 02 - 06, 2026

YALIYOJIRI DODOMA FEBRUARI 02 - 06, 2026

SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA SAFARI ZA TREN YA SGR DAR – DODOMA WAKATI WA MVUA SERIKALI YATOA KAULI HII

SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA SAFARI ZA TREN YA SGR DAR – DODOMA WAKATI WA MVUA SERIKALI YATOA KAULI HII

ALLY KAMWE MNASEMA PACOME MZEE NJOONI ZANZIBAR JUMAPILI TUKIFUZU ROBO FAINALI KWA KISHINDO

ALLY KAMWE MNASEMA PACOME MZEE NJOONI ZANZIBAR JUMAPILI TUKIFUZU ROBO FAINALI KWA KISHINDO

YALIYOJIRI DODOMA JANUARI 19-23, 2026.

YALIYOJIRI DODOMA JANUARI 19-23, 2026.

VIDEO: TAZAMA TUNDU LISSU ALIVYOLETWA MAHAKAMANI KESI YAKE ya UHAINI INAUNGURUMA LEO...

VIDEO: TAZAMA TUNDU LISSU ALIVYOLETWA MAHAKAMANI KESI YAKE ya UHAINI INAUNGURUMA LEO...

Hatma! KESI YA LISSU RIPOTI NZITO | WAKILI WAKE ALIPUKA

Hatma! KESI YA LISSU RIPOTI NZITO | WAKILI WAKE ALIPUKA

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"

CHADEMA WAIBUA BALAA NDANI YA  MAHAKAMA, NI BAADA YA KUMUONA LISSU

CHADEMA WAIBUA BALAA NDANI YA MAHAKAMA, NI BAADA YA KUMUONA LISSU

NDANI YA MAHAKAMA SHANGWE LAIBUKA LISSU AKIINGIA KUSIKILIZA KESI YAKE YA UHAINI

NDANI YA MAHAKAMA SHANGWE LAIBUKA LISSU AKIINGIA KUSIKILIZA KESI YAKE YA UHAINI

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 09.02.2026 | Swahili News

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 09.02.2026 | Swahili News

DODOMA NA DHAMIRA YA DHATI YA KILIMO CHA TUFAA (APPLE).

DODOMA NA DHAMIRA YA DHATI YA KILIMO CHA TUFAA (APPLE).

RC SENYAMULE ATEMBELEA MADUKA YALIYOATHIRIKA NA MOTO DODOMA

RC SENYAMULE ATEMBELEA MADUKA YALIYOATHIRIKA NA MOTO DODOMA

YALIYOJILI DISEMBA 29 HADI 01 JANUARI

YALIYOJILI DISEMBA 29 HADI 01 JANUARI

НАЧАЛО СТРОИТЕЛЬСТВО СТАДИОНА «ДОДОМА»

НАЧАЛО СТРОИТЕЛЬСТВО СТАДИОНА «ДОДОМА»

YALIYOJIRI DODOMA - DESEMBA 15 HADI 19, 2025.

YALIYOJIRI DODOMA - DESEMBA 15 HADI 19, 2025.

Miaka 4 ya Rais Samia Kondoa Mji

Miaka 4 ya Rais Samia Kondoa Mji

UTAKAVYOKUWA UWANJA MPYA DODOMA

UTAKAVYOKUWA UWANJA MPYA DODOMA

DODOMA NI SEHEMU NZURI YA UWEKEZAJI

DODOMA NI SEHEMU NZURI YA UWEKEZAJI

RC Dodoma Azindua Miundombinu ya Elimu Shule  ya msingi Mayamaya

RC Dodoma Azindua Miundombinu ya Elimu Shule ya msingi Mayamaya

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]