HAJI MWINYI AZUNGUMZIA SUALA LA DAWA ZA KULEVYA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2025-06-07
Просмотров: 21362
Описание:
Mwananchi Digital imefanya mahojiano maalumu na beki wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Haji Mwinyi Ngwali, ambaye kwa ujasiri mkubwa amefunguka kuhusu maisha yake ya sasa, historia yake ya soka, majuto aliyopitia, mafanikio aliyopata na ndoto yake ya kurejea tena katika soka la ushindani.
Kwa Haji, mojawapo ya vipindi vigumu zaidi katika maisha yake ni wakati jina lake lilipoanza kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya. Ingawa hakuwahi kutiwa hatiani wala kukamatwa, tuhuma hizo zilienea mitandaoni kwa kasi na zilitosha kumwathiri kisaikolojia.
Video na Khatibu Mgeja.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: