Uwanjani Sda Choir -Embe (Official Video ) 5k
Автор: Uwanjanisda choir
Загружено: 2025-06-27
Просмотров: 48270
Описание:
Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.--Warumi 12:2 | Embe ni wimbo kutoka Uwanjani SDA Choir unaokuja na ujumbe uliobeba nguvu ya mabadiliko kwa wanadamu! Naamini huu wimbo utakuwa wa baraka kwako! Tunakutakia #Sabatonjema🙏
Credits
Song 🎵: Embe
Choir : Uwanjani SDA
Director: @HolySpiritFilm 🎥
#+255 621 140 987
Year : 2025
Available on all streaming platforms!
• Uwanjani Sda Choir -Embe (Official Video ) 5k
Barikiwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: