ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

BUTIMBA SDA CHOIR || ITAKUWA FURAHA || Official Music Video || 4K

Автор: BUTIMBA SDA CHURCH-MWANZA

Загружено: 2025-12-05

Просмотров: 4479

Описание: BUTIMBA SDA CHOIR – Video rasmi (Official Video) ya wimbo wa “ITAKUWA FURAHA” (IT WILL BE JOY)

Tunakukaribisha kusikiliza na kutazama Wimbo huu unaoleta ujumbe wa matumaini na faraja kwa wote wanaomsubiri Bwana wetu Yesu Kristo. Unazungumzia Furaha kuu ambayo watakatifu wataipokea Yesu atakaporudi kuwachukua na kuwaongoza hadi kwenye makao ya milele mbinguni. Wimbo huu ni wito wa kuishi maisha ya utakatifu, toba na maandalizi ya kila siku.

“Na hao waliokombolewa na Bwana watarudi, watafika Sayuni wakiimba; na furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; nao watapata kicheko na furaha, huzuni na kuugua zitakimbia”. Isaya 35: 10.

“Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele”. 1 thesalonike 4: 16, 17

We invite you to listen and watch this Song that brings a message of hope and comfort to all who are waiting for our Lord Jesus Christ. It speaks of the great Joy that the saints will receive when Jesus returns to take them and lead them to their eternal home in heaven. This song is a call to live a life of holiness, repentance and daily preparation.

“And the ransomed of the Lord shall return, and come to Zion with singing; and everlasting joy shall be upon their heads; they shall obtain laughter and joy, and sorrow and sighing shall flee away”. Isaiah 35: 10.

“For the Lord himself shall descend from heaven with a shout, with the voice of the archangel, and with the trump of God: and the dead in Christ shall rise first. Then we which are alive and remain shall be caught up together with them in the clouds, to meet the Lord in the air: and so shall we ever be with the Lord”. 1 Thessalonians 4: 16, 17

🔔 Please SUBSCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT, and FOLLOW us on this channel and our social media accounts for more updates:

Facebook:   / butimba-sdachoir  
Instagram:   / butimbasdachoir  

For inquiries, please contact us at: (Wasiliana nasi kupitia)

Email: [email protected]
Contact: +255 627 784 738
Other Contact: +255 757 732 005

SONG CREDITS:

Choir: Butimba SDA Choir
Composition & Arrangement: Frank J Kabambara
Recording & Editing: Happy Rhythm Studios (+255 753 697 238)
Mixing & Mastering: AV PRO STUDIOS, @TegemeaChampandaAVPro
Instrumentation: Frank J Kabambara

Video: New Era Films
Video Director: Director Crix (+255 785 720 968)
Video rights: Exclusively owned by Butimba SDA Choir, 2025

English Subtitles: Available on the video.

All rights reserved by Butimba SDA Choir, 2025.
THANK YOU! GOD BLESS YOU

#newmusic #viral #sdachoir #hopechanneltanzania #adventist #nyimbozadini #injiliyakristo #tanzaniamusic

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
BUTIMBA SDA CHOIR || ITAKUWA FURAHA || Official Music Video || 4K

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Джем – BUTIMBA SDA CHOIR || ITAKUWA FURAHA || Official Music Video || 4K

Джем – BUTIMBA SDA CHOIR || ITAKUWA FURAHA || Official Music Video || 4K

BUTIMBA SDA CHOIR || UTUKUZWE BWANA || Official Music Video || 4k

BUTIMBA SDA CHOIR || UTUKUZWE BWANA || Official Music Video || 4k

HERI YA MWAKA MPYA - Official Music Video by Gilbert Ungani Generations Choir

HERI YA MWAKA MPYA - Official Music Video by Gilbert Ungani Generations Choir

⚡️ Срочный ответ Трампу || Россия готова к войне с США

⚡️ Срочный ответ Трампу || Россия готова к войне с США

Чем ОПАСЕН МАХ? Разбор приложения специалистом по кибер безопасности

Чем ОПАСЕН МАХ? Разбор приложения специалистом по кибер безопасности

AJABU ZAIDI || TUCASA SUA EMC CHOIR_OFFICIAL VIDEO

AJABU ZAIDI || TUCASA SUA EMC CHOIR_OFFICIAL VIDEO

Джем – Barnaba

Джем – Barnaba

#ZADOK THE PRIEST/TWAKUSIFU  FROM G.F.HANDEL --Beroya Mission Adventist Choir

#ZADOK THE PRIEST/TWAKUSIFU FROM G.F.HANDEL --Beroya Mission Adventist Choir

Все ветви христианства за 14 минут

Все ветви христианства за 14 минут

BAHARI OFFICIAL VIDEO|| JIWE LA PEMBENI -ELDORET || VIDEO BY SAFARI AFRICA MEDIA

BAHARI OFFICIAL VIDEO|| JIWE LA PEMBENI -ELDORET || VIDEO BY SAFARI AFRICA MEDIA

PIGENI KELELE- NJIRO SDA CHOIR (OFFICIAL_VIDEO)

PIGENI KELELE- NJIRO SDA CHOIR (OFFICIAL_VIDEO)

Mtoni SDA Choir DSM - Maombi (Official Video) 6K

Mtoni SDA Choir DSM - Maombi (Official Video) 6K

KUBETI (KAMARI) JE NI SAHIHI ? I PR. PAUL SEMBA AKIJIBU MASWALI ALIYO ULIZWA

KUBETI (KAMARI) JE NI SAHIHI ? I PR. PAUL SEMBA AKIJIBU MASWALI ALIYO ULIZWA

СЕКРЕТНЫЙ ПЛАН «СССР 2026». ПОСЛЕДНЕЕ ПРОРОЧЕСТВО ЖИРИНОВСКОГО, КОТОРОЕ УЖЕ НАЧАЛО СБЫВАТЬСЯ

СЕКРЕТНЫЙ ПЛАН «СССР 2026». ПОСЛЕДНЕЕ ПРОРОЧЕСТВО ЖИРИНОВСКОГО, КОТОРОЕ УЖЕ НАЧАЛО СБЫВАТЬСЯ

Twae Wangu Uzima | The Light Bearers Tz - Nyimbo Za Kristo EP One (NZK #146)

Twae Wangu Uzima | The Light Bearers Tz - Nyimbo Za Kristo EP One (NZK #146)

Bwana Mungu - NURU BUTIMBA CHOIR

Bwana Mungu - NURU BUTIMBA CHOIR

Трамп идёт ва-банк: США бьют по России, Китай наблюдает. Украина — новый щит Запада/№1076/ Юрий Швец

Трамп идёт ва-банк: США бьют по России, Китай наблюдает. Украина — новый щит Запада/№1076/ Юрий Швец

ASUBUHI NJEMA LIVE PERFORMANCE BY MSANII MUSIC GROUP

ASUBUHI NJEMA LIVE PERFORMANCE BY MSANII MUSIC GROUP

Удар США по российскому судну / Военная операция по захвату

Удар США по российскому судну / Военная операция по захвату

SONGAMBELE SDA CHOIR - WADUDU

SONGAMBELE SDA CHOIR - WADUDU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]