DC MAKILAGI AMPIGA MKWARA DC WA ILEMELA AKIKABIDHIWA MWENGE WA UHURU 2023 | TULIA UONE KAZI
Автор: Yuboxtv
Загружено: 2023-07-15
Просмотров: 582
Описание:
DC MAKILAGI AMPIGA MKWARA DC WA ILEMELA AKIKABIDHIWA MWENGE WA UHURU 2023 | TULIA UONE KAZI
MAKABIDHIANO MWENGE WA UHURU WILAYA YA NYAMAGANA TULIA NIKUFUNDISHE KAZI
Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Mapema leo tarehe 14 Julai, 2023 imepokea Mwenge wa Uhuru ukitokea wilayani Ilemela tayari kwa kuukimbiza kwenye Miradi Sita yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 4.7
Akizungumza kwenye mapokezi yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Igoma, Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Amina Makilagi amebainisha kuwa wamejiandaa vema kuukimbiza Mwenge wa Uhuru ambao unatarajiwa kufika kwenye miradi 6.
Mhe. Makilagi amefafanua kuwa, uwapo wilayani humo Mwenge wa Uhuru utakimbizwa kwenye eneo la umbali wa KM 37.7 ardhini na kwamba wana ari na shauku kubwa ya kuukimbiza ili umulike na kuangaza miradi inayomeremeta.
#mwanza #mwenge #raissamia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: