MTANGAZAJI WA TELEVISHENI YA IRAN ASOMA TAARIFA YA KIFO CHA AYATOLLAH HUKU AKILIA AKIWA HEWANI 📍IRAN
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 4032
Описание:
MTANGAZAJI WA TELEVISHENI YA IRAN ASOMA TAARIFA YA KIFO CHA AYATOLLAH HUKU AKILIA AKIWA HEWANI 📍IRAN
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
Mtangazaji wa habari wa televisheni ya taifa nchini Iran alishindwa kujizuia wakati alipokuwa akitangaza kifo cha Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khamenei, na kujikuta akibubujikwa na machozi na kutokwa na kwikwi akiwa hewani.
Baada ya kifo cha Khamenei, mwenye umri wa miaka 86, kutangazwa rasmi kupitia matangazo ya televisheni ya taifa ya Iran, mtangazaji huyo alilia huku akisoma taarifa hiyo kutoka Baraza Kuu la Kitaifa la nchi hiyo.
=================================================================
https://omg10.com/4/10665735
https://omg10.com/4/10664632
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: