WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUZINGATIA MAMBO HAYA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 50
Описание:
DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Idara ya Maendeleo ya Biashara, Sempeho Manongi, akimwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, amewataka wafanyabiashara na wadau wa soko nchini kujielimisha kuhusu sheria za ushindani ili kuepuka changamoto za kisheria zinazoweza kuathiri shughuli zao.
Akizungumza Machi 3, 2026 wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau jijini Dar es Salaam, amesema uelewa wa sheria hizo ni msingi wa kulinda maslahi ya washiriki wa soko na kuchochea ukuaji wa uchumi jumuishi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: