Muasisi wa Sober House amelezea mafanikio ya kituo hicho
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-04-24
Просмотров: 8165
Описание:
Moja kati ya stori ambayo imechukua nafasi katika siku za hivi karibuni ni kuhusu Mtanzania ambaye ameanzisha nyumba maalumu kwa ajili ya kuwatunza vijana walioathirika na dawa za kulevya maarufu kama Sober House.
Ricky ni Mtanzania ambaye aliathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya ambapo baada ya kutibiwa ameachana na matumizi ya dawa hizo na kuamua kuanzisha kituo chake cha kutibu na kuwapa ushauri watanzania wengine ambao wameathiriwa na dawa za kulevya kiitwacho South Beach Sober House kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam kikiwa na matawi sehemu mbalimbali nchini kwa lengo la kuwaokoa vijana wengine ambao walikuwa watumiaji wa dawa hizo za kulevya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: