Maisha na Mauti: Siri ya Kuishi kwa Ushindi (Muongozo wa Biblia - Somo la 3)"
Автор: Patakatifu MEDIA
Загружено: 2026-01-10
Просмотров: 2692
Описание:
."Karibu tena Patakatifu Media! Katika somo hili la 'Uzima na Mauti' (Wafilipi 1), tunajifunza kwanini Biblia ni suluhisho la pekee kwa hofu ya kifo na matatizo ya dunia.
Je, una kitu ambacho uko radhi kupoteza uhai wako kwa ajili yake? Paulo anatuonyesha kuwa ukiishi kwa ajili ya Kristo, hata mauti inageuka kuwa faida. Mungu ana nguvu ya kulinda thamani ya maisha yako na mauti yako machoni pake.
Ratiba Mpya:
🗓️ Kila Alhamisi: Mwendelezo wa Muongozo wa Biblia.
🗓️ Kila Jumapili Usiku: Uchambuzi wa Kina na Maombi wa Suluhisho la kibiblia.
Usisahau ku-Subscribe na ku-share ujumbe huu wa matumaini."
kwa mawasiliano zaidi whatsapp/SMS/Voicecall +255743171732
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: