TAREHE:::12_1_2026:::USHINDI DHIDI YA MAWAZO MABAYA. || PR.DAVID MMBAGA
Автор: Imani hai🙏
Загружено: 2026-01-11
Просмотров: 5450
Описание: Katika maisha yetu hapa duniani, shetani hupambana sana kubadilisha fikra za watu wa MUNGU kwa ajili ya kazi yake chafu. Kazi kubwa anayoifanya ni kucheza na fikra za ubongo wa binadamu kwa kumjazia habari au mawazo mabaya na hivyo kuzaa dhambi inayoonekana kwa macho. Kumbuka chochote utakachokifanya kinachoonekana nje ni dhahiri hicho kilianzia ndani au kwenye fikra, hivyo video hii imeeleza namna ya kushinda mawazo mabaya usikose kutazama ili ujifunze juu ya hila za shetani kwetu. BWANA na awabariki sana #imanihai #prdavid #prmmbaga #mawazomabaya #2026_news #education #sda #sdachurch #kushinda @MahubiriPrMmbaga @HopeChannelTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: