ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MTINDIO WA UBONGO: Sababu, Dalili, Matibabu

Автор: WikiElimu

Загружено: 2026-03-03

Просмотров: 26

Описание: Katika video hii inazungumza kuhusu sababu, dalili, matibabu, namna ya kuzuia, matarajio baada ya matibabu ya MTINDIO WA UBONGO , endelea angalia mpaka mwisho kujifunza

Mtindio wa ubongo (cerebral palsy), ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo ambayo yanayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo wa neva. Shughuli kama kujongea, kutembea, kujifunza, kusikia, kuona na kufikiri.
Neno utindio wa ubongo linatumika kuwakilisha matatizo yote ya mfumo wa fahamu yanayotokea utotoni na yanayothiri mjongeo na misuli ya mtoto.
Hali ya mtoto mwenye mtindio wa ubongo haibadiliki – kama alikuwa na matatizo ya kuona, hategewei kwamba ataanza kuona baada ya muda. Mtindio wa ubongo kwa watoto unaathiri zaidi misuli.
Tatizo la mtindio wa ubongo linasababishwa na matatizo kwenye maeneo ya ubongo yanayodhibiti mjongeo wa mwili. Ugonjwa wa mtindio wa ubongo unaweza kusababisha misuli inakaza au inalegea.
Sababu za mtindio wa ubongo?
Tatizo la mtindio wa ubongo linaweza kusababishwa na kuharibika kwa ubongo baada ya kukosa oksijeni kwa muda. Watoto wanaozaliwa wakiwa njiti – hawa ni wale watoto wanaowahi kuzaliwa kabla ya wiki 37 za ujauzito kukamilika – wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi ya kupata mtindio wa ubongo
Mtindio wa ubongo unaweza pia kutokea utotoni kwa sababu mbalimbaliz, kama:
• Kuvuja damu ndani ya ubongo
• Majeraha ya kichwa
• Maambukizi kwenye ubongo
• Maambukizi kwa mama wakati wa ujauzito
Lakini, kuna baadhi ya visa vya mtindio wa ubongo ambavyo sababu haijulikani kabisa.
Je, nini dalili za mtindio wa ubongo?
Dalili za wagonjwa wenye mtindio wa ubongo zinatofautiana, kuna mbao wana dalili za kadri au kali sana – dalili zinaweza kuwa upande mmoja au pande zote mbili - zinaweza kuwa kwenye mikono, miguu au mikono na miguu kwa pamoja.
Kuna baadhi ya wagonjwa misuli inakaza inakuwa ngumu kuinyoosha. Kadri muda unavyokwenda misuli inaendelea kukaza zaidi.
• Misuli inakaza na inakuwa ngumu kuinyoosha. Misuli inaweza kuendelea kukaza zaidi kadri muda unavyokwenda. Kwa sababu ya kukaza kwa misuli inakuwa ngumu kutembea – magoti yakuwa nayagusana au kuvukana au unakuta mtu anatembelea vidole vya miguu na wakati mwingine viungo vinakuwa vigumu
Wagonjwa wengine:
• Wanatetemeka
• Wanatembea wakiwa wanayumbayumba
• Misuli inakuwa inalegea, hasa wakati wa mapumziko.
Dalili nyingine za mtindio wa ubongo ni:
• Kupungua kwa uwezo wa kujifunza na kufikiri, lakini wakati mwingine uwezo wa kufikiri unaweza kuwa sawa.
• Matatizo ya kuongea
• Matatizo ya kusikia au kuongea
• Maumivu, hasa kwa watu wazima (inaweza kuwa vigumu kuyadhibiti)
• Matatizo wakati wa kula
• Kushindwa kunyonya au kula kwa watoto wachanga, au kushindwa kutafuna na kumeza kwa watoto wakubwa na watu wazima
• Matatizo ya kumeza chakula (kwa rika zote)
• Kutapika na kufunga choo
Dalili nyingine ni
• Kutokwa na mate
• Kupumua kusiko kwa kawaida
• Kujikojolea
Utambuzi wa mtindio wa ubongo
Kwa mgonjwa wa mtindio wa ubongo, uchunguzi wa neurolojia ni muhimu. Kwa wazee, kupima uwezo wa kujitambua ni muhimu. Lakini pia, daktari anaweza kupima vipimo vya damu, CT scan, EEG, MRI na vipimo vya macho

Uchaguzi wa matibabu ya mtindio wa ubongo
• Mtindio wa ubongo hauwezi kuponywa, lakini matibabu mara nyingi yanaboresha uwezo wa mtoto. Watoto wengi wanaweza kuishi maisha angalau kama kawaida wanapokuwa watu wazima kama watapata matibabu sahihi. Kwa kawaida, kadiri matibabu yanavyowahi kutolewa ndivyo na matokeo yanavyoboreka.
• Matibabu yanajumuisha mazoezi, kujifunza kazi, kujifunza kuongea, madawa kudhibiti degedege, madawa kulegeza misuli iliyokakamaa, madawa ya maumivu, upasuaji kuondoa kasoro zilizopo, viatu maalumu, kiti cha magurudumu na vifaa vya mawasiliano kama kompyuta n.k.
• Lengo la matibabu ni kumsaidia mtu kujitegemea kwa kadri inavyowezekana. Matibabu yanahitaji ushirikiano wa wataalamu wa fani mbalimbali - Madaktari wa kawaida, madaktari wa meno (wanapaswa kuangaliwa meno kila baada ya miezi 6), watu wa utawi wa jamii, wauguzi, wataalamu wa kufundisha kazi, wataalamu wa mazoezi, wataalamu wa kufundisha kuongea, madaktari bingwa wa mfumo wa neva, madaktari bingwa wa

Emmanuel Mniko #mniko #wikielimu @wikielimu

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MTINDIO WA UBONGO: Sababu, Dalili, Matibabu

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu

UGUMBA/UTASA (Kukosa mtoto): Sababu, Matibabu

ТОП-3 открытия АРМЯН, которые изменили мир (о них почти не говорят!). ШОК-факты об армянских гениях.

ТОП-3 открытия АРМЯН, которые изменили мир (о них почти не говорят!). ШОК-факты об армянских гениях.

VVU/UKIMWI: Sababu, Dadilili, Matibu, Kuzuia

VVU/UKIMWI: Sababu, Dadilili, Matibu, Kuzuia

UGONJWA WA KISONONO: Sababu, Dalili, Matibu, Kuzuia

UGONJWA WA KISONONO: Sababu, Dalili, Matibu, Kuzuia

TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia

TATIZO LA NGIRI: Sababu, Dalili, Matibabu, Kuzuia

DEGEDEGE: Sababu, huduma ya Kwanza

DEGEDEGE: Sababu, huduma ya Kwanza

ШУМ В УШАХ ПРОПАДЕТ НАВСЕГДА! Слух станет таким же острым, как в молодости—нажмите на эту точку

ШУМ В УШАХ ПРОПАДЕТ НАВСЕГДА! Слух станет таким же острым, как в молодости—нажмите на эту точку

5 СКРЫТЫХ ПРИЗНАКОВ БОЛЬНОЙ ПЕЧЕНИ. Как распознать болезнь вовремя?

5 СКРЫТЫХ ПРИЗНАКОВ БОЛЬНОЙ ПЕЧЕНИ. Как распознать болезнь вовремя?

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

АУТИЗМ и ДЕМЕНЦИЯ: Шокирующая связь! Невролог раскрывает, как вылечить неизлечимое | На здоровье!

АУТИЗМ и ДЕМЕНЦИЯ: Шокирующая связь! Невролог раскрывает, как вылечить неизлечимое | На здоровье!

Если бы Это Видео Не Сняли На Камеру Видеонаблюдения, Никто Бы Точно Не Поверил

Если бы Это Видео Не Сняли На Камеру Видеонаблюдения, Никто Бы Точно Не Поверил

КАК ВЫЯВИТЬ ПАРАЗИТОВ У СЕБЯ И РЕБЁНКА ЗА ПЯТЬ МИНУТ — И УБРАТЬ ИХ БЕЗ ХИМИИ

КАК ВЫЯВИТЬ ПАРАЗИТОВ У СЕБЯ И РЕБЁНКА ЗА ПЯТЬ МИНУТ — И УБРАТЬ ИХ БЕЗ ХИМИИ

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

ГРИБОК НОГТЕЙ ОТПАДЕТ ПЛАСТОМ! Самое мощное домашнее средство, грибок уйдет за 2 дня | РЕЦЕПТ

ГРИБОК НОГТЕЙ ОТПАДЕТ ПЛАСТОМ! Самое мощное домашнее средство, грибок уйдет за 2 дня | РЕЦЕПТ

После 50 лет: 3 продукта для завтрака, замедляющие старение | ПАМЯТЬ И МОЗГ

После 50 лет: 3 продукта для завтрака, замедляющие старение | ПАМЯТЬ И МОЗГ

7 ОШИБОК, из за которых Собака Думает, что Ты Её НЕНАВИДИШЬ!

7 ОШИБОК, из за которых Собака Думает, что Ты Её НЕНАВИДИШЬ!

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

Почему Кошки Вдруг ЗАЛЕЗАЮТ На Вас? (Причина шокирует)

Почему Кошки Вдруг ЗАЛЕЗАЮТ На Вас? (Причина шокирует)

🎥 Ешь Это На Ночь и Тело САМО Очистит Артерии. Доктор Александр.

🎥 Ешь Это На Ночь и Тело САМО Очистит Артерии. Доктор Александр.

МОЙТЕ ЕЁ С СОЛЬЮ — И ОРГАНИЗМ ПЕРЕСТАНЕТ БОЛЕТЬ! - НАТАЛЬЯ БЕХТЕРЕВА

МОЙТЕ ЕЁ С СОЛЬЮ — И ОРГАНИЗМ ПЕРЕСТАНЕТ БОЛЕТЬ! - НАТАЛЬЯ БЕХТЕРЕВА

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]