TABORA WAPEWA MBINU MPYA ZA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 11
Описание:
TABORA- LICHA ya hatua mbalimbali zinazoendelea kuchukuliwa na serikali pamoja na asasi za kiraia katika kuwawezesha wanawake kiuchumi, bado wanawake wanatajwa kukabiliwa na changamoto ya kupata ajira zisizo na staha pamoja na ugumu wa kusawazisha majukumu ya kazi na familia, hali inayochangia kupunguza ushiriki wao kamili katika maendeleo ya uchumi na jamii.
Imeandaliwa na Michael Samwel
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: