OFISI ZA TRA ZINAZOHAMA ZAZINDULIWA NA WAZIRI WA FEDHA
Автор: SQF TV
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 11
Описание:
Waziri wa Fedha, Balozi Dkt. Khamis Mussa Omar, amekabidhi rasmi magari mapya 72 pamoja na magari mawili kati ya 10 ya ofisi zinazotembea (“Mobile Tax Office Vehicles”) kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Magari hayo yamenunuliwa kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 24.8, yakilenga kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa kodi na kuboresha huduma kwa wafanyabiashara nchini.
Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano, Waziri Dkt. Omar amesema magari hayo ni mali ya Watanzania wote na yataongeza tija ya TRA bila mbwembwe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: