DALILI 7 KUWA HUTAWEZA KUWA TAJIRI KAMA USIPO BADIRIKA SASA
Автор: Dr. Mahinda | Saikolojia ya Maisha
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 518
Описание:
aribu kwenye chaneli ya Saikolojia ya Maisha. Mimi ni wako, Dr. Mahinda.
Watu wengi hushindwa kufikia uhuru wa kifedha si kwa sababu hawana mitaji, bali kwa sababu ya "Psychological Barriers" au vizuizi vya kisaikolojia vinavyoongoza maamuzi yao ya kila siku. Katika somo la leo, tunazama ndani kuchambua tabia saba hatari ambazo ni dalili tosha kuwa unaelekea kwenye umasikini wa kudumu usipochukua hatua za makusudi kubadili fikra zako (Mindset).
#SaikolojiaYaMaisha #DrMahinda #Mafanikio #Pesa #Utafutaji #Mindset #Tanzania #MotivationSwahili #Elimu #Akili #Utajiri #successtips
#SaikolojiaYaMaisha #DrMahinda #SaikolojiaYaMafanikio #MindsetShift #ElimuYaPesa #Tanzania #MaendeleoBinafsi #AkiliNaPesa #WealthPsychology
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: