NINI UFANYE UKIACHWA
Автор: Dr. Mahinda | Saikolojia ya Maisha
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 205
Описание:
UKIACHWA, USIFANYE HAYA! 💔🔥
Kuachwa kunauma, lakini kosa unalofanya baada ya kuachwa ndilo linaamua kama utainuka kwa heshima au utabaki kwenye majuto. Katika video hii, Dr. Mahinda (Mufasa) anakupa mambo 6 ya kuepuka na suluhisho la kisaikolojia ili urudishe thamani yako haraka.
Usikubali maumivu yakupotezee utu wako. Kumbuka: Mungu akifunga mlango mmoja uliokuwa unakupotezea muda, anajipanga kufungua mlango mwingine wa heshima! 🚪✨
Je, ni kosa gani kati ya haya ulishawahi kulifanya? Niandikie kwenye comment hapo chini tusaidiane kupona. 👇🏾
#SaikolojiaYaMaisha #DrMahinda #Mahusiano #Mapenzi #Ushauri #Tanzania #Kenya #Healing #MentalHealth #BreakupAdvice #love #fypyoutube
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: