Wananchi waeleza wanayopitia huduma za NHIF
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-05-23
Просмотров: 253
Описание:
Malalamiko ya muda mrefu ya wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhusu kukosa baadhi ya huduma au dawa kwa maelezo kuwa hazilipwi na bima hiyo, yamepata ufafanuzi. Wataalamu wa mfuko huo wamesema kuwa utoaji wa huduma huzingatia mwongozo wa tiba.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: