NHIF yaja na chaguo la mtumiaji wa kifurushi
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-06-04
Просмотров: 207
Описание:
Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) umeeleza namna huduma ya bima ya afya kwa wote kupitia vifurushi vitano—Ngorongoro, Mikumi, Serengeti, Tanzanite na Tarangire—itakavyotekelezwa kutekelezwa katika vituo mbalimbali nchini, huku ukibainisha kuwa unasubiri mwongozo zaidi kutoka serikalini kwa ajili ya utekelezaji.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: