Makovu ya majeraha ya risasi Kisii miezi mitatu baadae
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-04-07
Просмотров: 7632
Описание: Miezi mitatu baada ya vurugu kushuhudiwa wakati wa hafla ya utoaji basari eneo la Mugirango Kusini kaunti ya Kisii, baadhi ya waathiriwa wameendelea kuuguza majeraha ya risasi. Baadhi walionusurika kifo sasa wakidai haki wakisema wametelekezwa licha ya serikali kuu kuahidi kuwa wahusika wangekamatwa na kuchukuliwa hatua. Chrispine Otieno alirejea kuwatembelea baadhi ya waathiriwa hawa na hii hapa taarifa yake
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: