ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 19/01/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-01-18

Просмотров: 7023

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 19/01/2026

UJUMBE WA LEO: MAMBO YA KUOMBEA KATIKA MSIMU MPYA

(PRAYER PRIORITIES FOR A NEW SEASON)

Muhubiri 3 : 1

LENGO LA SOMO
ni kukufahamisha maeneo muhimu ya kuombea katika msimu wako mpya ili uimarishe mahusiano yako na Mungu na ufanikiwe kimaisha.

Msimu mpya maana yake nini kibiblia ni kipindi kipya au majira mpya au ni nyakati mpya ambazo hujawahi kuziishi.

Msimu mpya ni majira mapya yaliyowekwa kwa kusudi maalumu la kiungu

Jambo la kwanza la kuombea ni hili Usiache kumwombea mtu ambaye Mungu amemtuma kukusaidia unapoingia katika msimu wako mpya

Kuna watu ambao Mungu huwainua kwa ajili ya kuwasaidia watu wengine kwenye vipindi mbali mbali vya maisha

Watu wa jinsi hii Mungu huwa anawakutanaisha na wahusika katika wakati upasao.

Esta 3 : 7
7 Basi mwezi wa kwanza, ndio mwezi wa Nisani, mwaka wa kumi na mbili wa mfalme Ahasuero, wakapiga Puri, yaani kura, mbele yake Hamani; siku kwa siku, na mwezi kwa mwezi, hata mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari.

Watu waliopewa jukumu la mamma hii kama Esta wanatakiwa kuombewa sana.

Esta 4 : 15 - 16

15 Basi Esta akawatuma ili wamjibu Mordekai,

16 Uende ukawakusanye Wayahudi wote waliopo hapa Shushani, mkafunge kwa ajili yangu; msile wala kunywa muda wa siku tatu, usiku wala mchana, nami na wajakazi wangu tutafunga vile vile; kisha nitaingia kwa mfalme, kinyume cha sheria; nami nikiangamia, na niangamie.

Zaburi 105 : 16 - 21

16 Akaiita njaa iijilie nchi, Akakiharibu chakula chote walichokitegemea.

17 Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani.

18 Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma.

19 Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya Bwana ilimjaribu.

20 Mfalme alituma watu akamfungua, Mkuu wa watu akamwachia.

21 Akamweka kuwa bwana wa nyumba yake, Na mwenye amri juu ya mali zake zote.

Ndugu za Yusufu hawakujua Yusufu ametumwa na Mungu kuwasaidia katika kipindi cha miaka saba.

Yusufu alitumwa na Mungu kwa ajili ya kuwasaidia waebrania, Wamisri na dunia ya kipindi kile.

Mungu akutumie Yusufu wako atakae kuvusha katika msimu mpya uliopo.

Mhubiri: Mwl. Davidney Kaale

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 19/01/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 03/03/2026

Маттс-Ола Исхоел / Воскресное богослужение / Прямая трансляция / Церковь «Слово жизни» Москва

Маттс-Ола Исхоел / Воскресное богослужение / Прямая трансляция / Церковь «Слово жизни» Москва

Pr. MWASOMOLA NA UJUMBE WA MWISHO

Pr. MWASOMOLA NA UJUMBE WA MWISHO

Swahili Worship Songs 2026 | Nyimbo za Kuabudu na Kuomba | Gospel Mix | Alipo Bwana, Roho wa Bwana

Swahili Worship Songs 2026 | Nyimbo za Kuabudu na Kuomba | Gospel Mix | Alipo Bwana, Roho wa Bwana

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :  IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

Утреннее служение 01 03 2026

Утреннее служение 01 03 2026

Mfanyakazi wa ndani ALIONGEA LUGHA 7 ZILIZOMSAIDIA BOSS wake ASIFILISIKE | Mwanzoni ALIMDHARAU

Mfanyakazi wa ndani ALIONGEA LUGHA 7 ZILIZOMSAIDIA BOSS wake ASIFILISIKE | Mwanzoni ALIMDHARAU

KATIKA KRISTO KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKA

KATIKA KRISTO KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKA

"KAMA UNATAKA KUONGEZEKA KWENYE MAISHA YAKO NI LAZIMA UJIFUNZE HII KANUNI LEO!" ~ Dr. Eliona Kimaro

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM  l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :  IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

UJUMBE HUU NI WAKO | MUNGU ATAKUFURAHISHA | HAIJALISHI UNAPITIA NINI WAKATI HUU ~ Rev. Eliona Kimaro

NYIMBO ZA BARAKA KUKUSAIDIA KULETA UWEPO UKIWA KWENYE MAOMBI YA MDA MREFU

NYIMBO ZA BARAKA KUKUSAIDIA KULETA UWEPO UKIWA KWENYE MAOMBI YA MDA MREFU

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM  l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :  IBADA YA JUMAPILI - KUSIFU NA KUABUDU 01/03/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI - KUSIFU NA KUABUDU 01/03/2026

Nyimbo za Kuabudu | ANOINT 5 – Deep Swahili Worship & Praise Cover Songs | Anointed Worship

Nyimbo za Kuabudu | ANOINT 5 – Deep Swahili Worship & Praise Cover Songs | Anointed Worship

DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023

DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]