KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026
Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 3867
Описание:
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 02/03/2026
MAFUNGO YA KWARESMA 2026. SIKU YA 11
NENO KUU:
Mhubiri 3:1
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
Matendo 3:19
Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake Bwana;
MADA:
"KUTOKA MISIMU MPAKA KUSUDI" (FROM SEASONS TO REASON)
UJUMBE WA LEO :UPAKO WA MAANDALIZI KATIKA MISIMU
SHABAHA YA SOMO:
1. Kujua kwamba kuna upako maalumu wa kimaandalizi katika kila msimu wa maisha, na upako huo unalenga kukusaidia na kukuandaa ili uvuke salama na kufikia kusudi.
2. Kupokea upako unaoachiliwa katika msimu uliopo na faida zake.(1 Samweli 16 : 1, 13, Zaburi 78 : 70 - 71, Matendo 13 : 36)
1. UPAKO WA MAANDALIZI JUU YA DAUDI NA MISIMU ALIYOPITIA. (Zaburi 89 : 20 - 23, Matendo 1 : 8)
KAZI ZA UPAKO WA KATIKA MISIMU
1: UTAMBULISHO.
A. KUMTAMBULISHA MUNGU KWAKO. (1 Samweli 17 : 34 - 37)
B. KUKUTAMBULISHA WEWE KWA WENGINE. (1 Samwel 16 : 11 - 13, 1 Samweli 17 : 53 - 58, 1 samweli 18 : 1 - 2, 5 - 9)
AJENDA YA KUOMBEA.
1.Omba Mungu akupe upako wa kukuandaa na kukuvusha msimu uliopo ili ufikie kusudi.
Mhubiri : Mwl.Benjamin Abel
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: