Burundi yatuhumu Pierre-Celestin Ndikumana kwa njama ya kumuua rais Pierre Nkurunziza
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2018-10-22
Просмотров: 8020
Описание:
Serikali ya Burundi imemtuhumu mwanasiasa maarufu wa upinzani kwa kupanga njama ya kumuuarais wa nchi hiyo.
Idara ya Polisi nchini humo inasema Mbunge Pierre-Celestin Ndikumana kutoka Muungano wa mpinzani Mkuu Agaton Rwasa, alipanga njama ya kumuua rais Pierre Nkurunziza, pamoja na maafisa wengine wa vyeo vya juu wakiwemo wabunge wawili.
Hata hivyo, Mbunge Ndikumana ameyakana madai hayo na kusema ni njia ya serikali ya kutaka kuukandamiza upinzani na kuzua hali ya hofu nchini Burundi.
Kutoka Bujumbura , Mwandishi wetu Ramadhani Kibuga ana taarifa zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: