Mazishi ya Pierre Nkurunziza
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2020-06-26
Просмотров: 12371
Описание: Maelfu ya Warundi wamehudhuria hafla ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa rais wao Pierre Nkurunziza katika mji wa Gitega siku ya Ijumaa. Rais Evariste Ndayishimiye aliyeapishwa miezi miwili kabla, wiki iliyopita, alikuwa miongoni mwa waliohudhuria.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: