BASHUNGWA AANZA KAZI NA KITENGO CHA MALALAMIKO "NITAKIANGALIA KITENGO HIKI KWA DARUBINI KALI"
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2024-12-12
Просмотров: 9409
Описание:
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa (Mb) ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kusimamia Kitengo kinachoshughulikia Malalamiko yanayotolewa kwa Wizara, Taasisi na Vyombo vya Usalama kuhakikisha wanayafanyia kazi na kutoa mrejesho wa utatuzi wa malalamiko kwa Wananchi.
Aidha, Bashungwa amevitaka Vitengo vya Mawasiliano na Habari vya Wizara, Vyombo vya Usalama na Taasisi zote kuboresha mfumo wa Mawasiliano na habari kwa umma.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: