RAIS MAGUFULI: Bondia Mwakinyo Alivyonifurahisha
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-03-25
Просмотров: 71695
Описание:
RAIS MAGUFULI: Bondia Mwakinyo Alivyonifurahisha
Rais magufuli atoa zawadi ya viwanja vya kujenga nyumba kwa wachezaji wa taifa stars pamoja na bondia Hassan mwakinyo baada yakuipa Tanzania ushindi pamoja na fedha taslimi shiling bilioni moja kwaajili ya maandalizi ya AFCON kwa timu ya vijana chini ya miaka 17.
Pia magufuli amewataka watanzania kushangilia klabu yoyote kutoka ndani ya nchi inapoiwakilisha nchi kimataifa bila kujali upinzani ulipo kwenye mpira.
Aidha amempongeza bondia Hassan mwakinyo kwakuonesha ushujaaa na uzalendo hadi kupelekea kuitangaza Tanzania kimataifa na kuaidi kuonesha ushirikiano zaidi kwenye mchezo wa ngumi.
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:
www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: