"NI UVUNJIFU WA KATIBA"- MASAJU AVUNJA UKIMYA
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 142
Описание:
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mheshimiwa George Masaju, amesisitiza umuhimu wa uhuru wa Mahakama, ufanisi katika utoaji haki, na upatikanaji wa rasilimali fedha za kutosha ili Mahakama itekeleze majukumu yake kwa weledi na hadhi ya kimataifa. Amesema hayo jijini Dodoma wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Tanzania (TMJA), unaoadhimisha miaka 41 tangu kuanzishwa kwake, uliofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#Masaju #TMJA2025 #MahakamaHuru #HakiKwaWote #UtawalaWaSheria #Dodoma #MahakamaYaTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: