ZUIO KWA WAGENI KANUNI MPYA ZA MADINI, WAZAWA KICHEKO
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-01-05
Просмотров: 1314
Описание:
Kwa mujibu wa Sheria ya Madini kifungu cha 102, Serikali inatambua umuhimu wa ushirikishwaji wa Watanzania kwa asilimia 100 katika umiliki na usimamizi wa rasilimali za madini. Hata hivyo, utekelezaji wa kifungu hicho umeonekana kutokufuatwa ipasavyo kwa kipindi cha nyuma.
Kutokana na hali hiyo, Wizara ya Madini imetunga kanuni mpya zinazolenga kuwalinda wazawa kwa kuweka zuio kwa wageni kufanya baadhi ya shughuli na bidhaa zaidi ya 20 katika sekta ya madini. Hatua hii inalenga kuhakikisha Watanzania wananufaika moja kwa moja na rasilimali za taifa, kukuza uchumi wa ndani pamoja na kuongeza ajira kwa wananchi. Serikali imesisitiza kuwa utekelezaji wa kanuni hizi ni sehemu ya dhamira yake ya kuhakikisha rasilimali za madini zinawanufaisha Watanzania kwa kiwango kikubwa zaidi.
#SheriaYaMadini#Kifungu102#SektaYaMadini#WazawaKwanza#WatanzaniaKwanza
#RasilimaliZaTaifa#Ushirikishwaji#WizaraYaMadini#UchumiWaNdani#AjiraKwaWatanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: