ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MKUU WA MKOA WA IRINGA KATIKA MAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA TURNBULL TECH COLLEGE -MGENI RASMI

Автор: TURNBULL TECHNICAL TRAINING COLLEGE

Загружено: 2025-07-28

Просмотров: 439

Описание: RC KHERI JAMES AWASHA MOTO WA MAENDELEO KWA VIJANA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, pia Mhe.Kheri James, amezielekeza Halmashauri zote za Mkoa wa Iringa, kuhakikisha zinatenga maeneo maalum kwa ajili ya vijana wanaomaliza masomo yao katika vyuo vikuu na vya kati, kwa lengo la kuwawezesha vijana hao kutumia maeneo hayo kwaajili ya shughuli mbalimbali za kiuchumi, ili kuchangia maendeleo ya Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Ameyasema hayo leo Julai 26,2025 katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo,wakati wa Mahafali ya Nne ya Chuo cha Turnbull Tech Training College kilichopo Kihesa Majembe,Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo Mhe. Kheri amesema kuwa hatua hiyo inalenga kuwasaidia vijana kuwa wabunifu, kuanzisha miradi mbalimbali ya uzalishaji mali na kuondokana na utegemezi baada ya kuhitimu masomo yao.

“Tuna vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka, lakini changamoto kubwa wanayokutana nayo ni ukosefu wa rasilimali na maeneo ya kuanzia shughuli za kiuchumi. Ni wajibu wa halmashauri zetu kutambua kundi hili na kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha kujiajiri na kuchangia pato la Taifa,”

Mhe. Kheri Ameongeza kwa kusema kuwa Serikali ya Mkoa ipo tayari kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha vijana wanapata msaada wanaohitaji ili kufanikisha malengo yao ya kiuchumi huku akisisitiza kuwa maeneo yatakayotengwa yanaweza kuwa ya kilimo, biashara ndogondogo, viwanda vidogo kulingana na mahitaji na uwezo wa vijana hao.

Akitoa Taarifa,Mkurugenzi wa Chuo hicho Ndg. Daudi Kingalata amesema kuwa Changamoto kubwa inayowakabili ni kukosa eneo la kujenga Chuo hicho ikiwa kwa sasa wamepanga katika maeneo ambayo shughuli nyingi za kijamii zimekuwa zikifanyika, ambapo Mhe. Kheri ameutaka uongozi huo kuandika barua za kuomba eneo la kujenga chuo katika Halmashauri zote zilizopo mkoani hapa.

Nao Baadhi ya Wahitimu wa Chuo hiki wametoa shukrani kwa serikali ya mkoa huku wakiahidi kwenda kuyafanyia kazi yale yote waliyojifunza.
#iringaimaratutaijengakwaumojanauwajibikaji
  / dmlzer.  .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MKUU WA MKOA WA IRINGA KATIKA MAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA TURNBULL TECH COLLEGE -MGENI RASMI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

TTTC MKOANI IRINGA NA KOZI ZINAZOTOLEWA KWA VIJANA WA RIKA ZOTE

TTTC MKOANI IRINGA NA KOZI ZINAZOTOLEWA KWA VIJANA WA RIKA ZOTE

RC Kheri James Ashiriki Mahafali ya Chuo (Turnbull Tech College) Iringa, Asema Maarifa hayana Jinsia

RC Kheri James Ashiriki Mahafali ya Chuo (Turnbull Tech College) Iringa, Asema Maarifa hayana Jinsia

KAZI NZURI YA CHUO CHA UFUNDI STADI MBEZI | WANAFUNZI KUJIAJIRI | MKUU WA CHUO AELEZA

KAZI NZURI YA CHUO CHA UFUNDI STADI MBEZI | WANAFUNZI KUJIAJIRI | MKUU WA CHUO AELEZA

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

Чечня УБИТА ГОРЕМ! Проклятие Кадыровых: был приказ УБРАТЬ Адама. Братская война. Откопали ВСЮ ПРАВДУ

Чечня УБИТА ГОРЕМ! Проклятие Кадыровых: был приказ УБРАТЬ Адама. Братская война. Откопали ВСЮ ПРАВДУ

MAANDALIZI YA MAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA TURNBULL MKOANI IRINGA JULY 2025.

MAANDALIZI YA MAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA TURNBULL MKOANI IRINGA JULY 2025.

KESI YA KUPINGA TUME YA JAJI CHANDE, MAWAKILI WACHUANA VIKALI MAHAKAMANI/ UAMUZI UNASUBIRIWA SASA...

KESI YA KUPINGA TUME YA JAJI CHANDE, MAWAKILI WACHUANA VIKALI MAHAKAMANI/ UAMUZI UNASUBIRIWA SASA...

MADEREVA WA MABASI NA MALORI WANAVYOFUNDISHWA  BARABARANI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

MADEREVA WA MABASI NA MALORI WANAVYOFUNDISHWA BARABARANI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

IFAHAMU TOSAMAGANGA MPYA_ 2024....tosamaganga documentary_Official_ video

IFAHAMU TOSAMAGANGA MPYA_ 2024....tosamaganga documentary_Official_ video

SWAHILI FASHION WEEK AND TURNBULL TECH TRAINING COLLEGE IN TANZANIA-EAST AFRICA

SWAHILI FASHION WEEK AND TURNBULL TECH TRAINING COLLEGE IN TANZANIA-EAST AFRICA

RC SENDIGA AKASIRIKA, SIKIA ALIVYOMKARIPIA MENEJA TARURA IRINGA

RC SENDIGA AKASIRIKA, SIKIA ALIVYOMKARIPIA MENEJA TARURA IRINGA

Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi

Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi

Ijue Idara ya Uhandisi Magari - Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

Ijue Idara ya Uhandisi Magari - Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

Rais Magufuli azindua Kiwanda cha SILVERLANDS kilichopo mkoani Iringa

Rais Magufuli azindua Kiwanda cha SILVERLANDS kilichopo mkoani Iringa

RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

HOTUBA YA MHESHIMIWA MKUU WA MKOA WA IRINGA -MGENI RASMI TURNBULL

HOTUBA YA MHESHIMIWA MKUU WA MKOA WA IRINGA -MGENI RASMI TURNBULL

LRCT NA ELIMU YA SHERIA KUHUSU DHAMANA MKOANI - KAGERA

LRCT NA ELIMU YA SHERIA KUHUSU DHAMANA MKOANI - KAGERA

MAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA TURNBULL TECH TRAINING COLLEGE MKOANI IRINGA.

MAHAFALI YA 4 YA CHUO CHA TURNBULL TECH TRAINING COLLEGE MKOANI IRINGA.

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

Mapokezi ya RC Kheri James Siku ya Kwanza Kazini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa

Mapokezi ya RC Kheri James Siku ya Kwanza Kazini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Iringa

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]